
Kichanga kikiwa kimetupwa katika Dampo la Takataka Soweto Mbeya

Baadhi ya akina Mama na watu wengine waliofika eneo hilo kutazama kichanga hicho ambapo Mama Mzazi hajafahamika. Hata hivyo Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi. Picha na Allt Kingo