Bondia, Baina Mazola, amemshinda kwa tabu Mwaite Juma, katika pambano lao lililokuwa na upinzani mkubwa kiasi cha kuwafanya majaji kuwa na wakati mgumu na makini wakati wote.
Baada ya kupoteza pambano hilo Mwaite, aliomba mchezo wa marudiano kama kutatokea promota mwaminifu kama alivyofanya mzazi,"namshukuru promota amenimalizia pesa yangu yote sio kama alivyotufanyia Kaike mpaka leo hajatulipa tunasumbuana nae kwenye vyombo vya sheria kwa hela ndogo na uwezo anao.
Katika mapambano ya utangulizi Issa omari alimpiga kwa point James martin,na kumfanya kupoza machungu aliyoachiwa na Kaike siraju,
nae Mustafa dot akimpiga raundi ya pili kwa ko mbaya iddi Rashid,huku omar Ramadhan akishindwa kutamba kwa herman richard,Adam Barnabas akimtesa mpole mckezie kwa point .
Kwa ufupi mapambano yalienda vizuri na matokeo yakiuwa kama hivi:-
Date 18/11/2012
Venue; D.I.D hall mabibo dar es salaam
Light weight.
Mustafa Doto win by tko in second round against iddi Rashid. 4rounders fight
Idi went down once in first round and three time in second round
Referee;Kondo Nasor, judges;Ibrahim kamwe, said chaku and sakwe mtulia.
Light wealter weight
Adam Barnabas beat by points mpole mckenzie. 4rounders fight
Referee; kondo nasor,
Judge; Ibrahim kamwe 40 36,said chaku 40-36, sakwe mtulia 40-36
Light fly weight
Herman Richard shekivuli won by points against omar ramadhan maksud, 4 rounders fight
Referee; kondo nasor
Judge; i; Ibrahim kamwe 40 36,said chaku 39-37, sakwe mtulia 40-36.
Light fly weight
ISSA OMAR win by points against JAMES MARTIN 8rounders fight
Referee; Said Chaku
Judges; Ibrahim kamwe 79-73, sakwe mtulia 79-73, kondo nasor 80-79
Bantam weight
BAINA MAZOLA beat by point MWAITE JUMA 8rounders fight
Referee; sakwe mtulia
Kondo nasor 79-73,, said chaku 78-74, Ibrahim kamwe 77-74