Hatuachani tena mpaka kifo...! Bwana harusi Godfrey Monyo akiwa mwenye furaha na mkewe Gadiosa Lamtey kwenye Kanisa la Mt. Petro leo Jumamosi Novemba 10, 2012.
Kama ndoto vile...! Bi. harusi Gadiosa Lamtey (kulia) akiteta jambo na mumewe, Godfrey Monyo. |
Bwana harusi Godfrey Monyo akila kiapo
Bibi harusi Gadiosa Lamtey akila kiapo
Pokea pete ya ndoa...!
Angalieni na mvitunze vyeti vyenu vya ndoa...! |
Hongereni sana...! 'Bandungu' na jamaa 'bakitoa' pongezi |
Picha ya pamoja na wapambe
Pozi la kumbukumbu ya wazazi na maharusi
Maharusi wakiwa na furaha tele
Mahala pa mnuso wa sherehe ya harusi ya Monyo na mkewe Gadiosa kwenye bustani ya viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE: Kwa Hisani ya richard-mwaikenda.blogspot.com)