Pages

Wednesday, August 1, 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Ndani Ya Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma 31/07/2012

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 31,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 31,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Popular Posts