
Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahaman Kinana,akisalimiana na Katibu wa Mkoa wa Vyuo Vikuu ,Christopher Ngubiagai, leo tarehe 19/11/2012 , Ofisi Ndogo CCM Lumumba.

Katibu wa Uchumi wa Fedha Mama Zakhia Meghji akipokelewa makao Makuu ya Chama, Ofisi Ndogo Lumumba.

Dk.Asha Rose Migiro,Katibu wa siasa na uhusiano wa kimataifa akipokelewa kwa furaha. CCM Ofisi ndogo Lumumba.Picha na Bashiri Nkromo-Idara ya itikadi na Uenezi-CCM