Washiriki wa warsha ya wapiga picha kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa EAC anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa Dr Julius Rotich (aliyeketi wa pili kushoto) mjini Arusha jana. Kushoto kwake ni Kaimu mkuu wa mpango wa EAC-GIZ and kulia ni Mkuu wa Idara ya Habari EAC Owora Othieno. Kulia kabisa aliyesimama ni mratibu wa mafunzo wa EAC Sukhdev Chhatbar.