

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimwakilisha Rais Jakaya Kikwete, kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma jana Agosti 6, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais
EMAIL : Patahabari@gmail.com SMS +255786 806028