WAZIRI WA NCHI ,OFISI YA RAIS ,ASIYE NA WIZARA MAALUM ,PROF.MARK JAMES MWANDOSYA AKITOKA NJE YA BUNGE NA KUWA NA MAZUNGUMZO NA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE (CCM) KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO.
MAMA TERRY AKIWA NA MAZUNGUMZO NA MAWAZIRI, WA KWANZA KUSHOTO NI WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. HARRISON GEORGE MWAKYEMBE NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. LAZARO SAMUEL NYALANDU KATIKATI BUNGENI MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU MSTAAFU WA ZAMANI MHE. EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA MAMISS WALIOPITA, KUSHOTO NI FARAJA KOTA(MRS. NYALANDU) NA NANCY SUMARI WALIPOPATA NAFASI YA KUTEMBELEA BUNGE MJINI DODDMA LEO
BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA LA MARIAM GIRLS WAKISIKILIZA KWA MAKINI WAKATI WA MAJADILIANO YA BUNNGE WALIPOPATA NAFASI YA KUINGIA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO VYO HABARI WAKIRIPOTI HABARI ZA BUNGE MJINI DODOMA.
MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM MARA) MHE. ESTER BULAYA WATATU KUSHOTO AKIZUNGUMZA NA MAMISS WALIOPITA, WA KWANZA KUSHOTO NI MISS FARAJA KOTA(MRS. NYALANDU), WA PILI NI NANCY SUMARI PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA BUNGE KULIA, NJE YA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODDMA LEO.PICHA ZOTE NA ANNA ITENDA – MAELEZO.