
Waumuni wakiwa kwenye kisoma pamoja na futari hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Siku ya Jana.
Bwana Omar, kutoka State ya Philadelphia alimazia kwa kuwakumbusha waumini wa jumaia, umuhimu wa Dini ya Kiislam katika Mwenzi huu Mtukufu wa Ramadhani.
Sikiliza kwa Makini (Audio) ya Kisomo pamoja na Mawaidha ya Bwana Omar kutoka Philadelphia kwa Audio Bofya hapa Hapa http://www.swahilivilla.blogspot.com/