
Ndugu wanachama wa chama cha Mapinduzi,
Tunapenda kuwafahamisha kuwa Tawi la chama cha mapinduzi- DMV linategemea kufanya mkutanao mkuu wa wanachama wote Kabla ya uzinduzi rasmi wa Tawi . Mkutano huu utafanyika siku ya Jumapili, tarehe 18 August 2012, mahali utakapofanyika ni 7901 MEADOW CREEK PARK, SILVERSPRING MARYLAND, Muda wa mkutano ni 4.00 P.M JIONI.
( TAFADHALI ZINGATIA MUDA).
Baadhi ya Agenda za mkutano zitakuwa:
1. Kujadili Maendeleo ya Tawi
2. Taarifa Kamili ya Tawi
3. Kuandikisha wanachama wapya na utoaji wa kadi
Kwa maelezo zaidi, tafadhali usisite kuwasiliana na wajumbe wafuatao:
1. Loveness Mamuya
240 -423 -0437

2. Yacob Kinyemi
202-629 -7841

3. Lemmy Mhando
202-361-1059

4. Alawi Omary
301-592-7581

5. Faraja Isongo
301-592-7581

6. Benjamini Mwaipaja
240-243-6737

7. Hidaya Mahita
240-271-7799

8. Halima Ali
240-988-4242

Wanachama wote wa CCM Mnakaribishwa
Taarifa Imetolewa na
ofisi ya Katibu wa Tawi-DMV