Bwana Omary Mjenga akiagana na Mh. Balozi wa
Marekani Nchini Siera Leone baada ya kumaliza mazungumzo. Balozi Michael Owen, aliwahi kuwa Naibu Balozi
wa Marekani Nchini Tanzania mnamo mwaka 2001 hadi 2004.
Mwakilishi Mkazi wa UNOPS Nchini Sierra Leone,
Nd Omary Mjenga, akipiga picha ya kumbukumbu Pamoja na Balozi wa Marekani Nchini
Sierra Leone Bw Michael Owen, alipomtembelea jana na kufanya mazungumzo naye.