

Msafara wa uliobeba Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukiiingia kijijini kwao Kilema-Kyou,Wilaya ya Moshi Vijini Mkoani Kilimanjaro siku ya Jumatano, Oktoba 17, 2012 tayari kwa mazishi

Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema akiingia kijijini kwa marehemu Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo BarlowKilema-Kyou,Wilaya ya Moshi Vijini Mkoani Kilimanjaro siku ya Jumatano, Oktoba 17, 2012 tayari kwa mazishi

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima akiwasili kwenye mazishi

Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Laordinas Gama akiwasili kwenye mazishi

Mwili wa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukishushwa kwenye gari

Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukiwa umebebwa na maofisa wandamizi wa jeshi la polisi kuelekea kwenye mazishi

Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow

Mkuu wa Jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema akitoa heshima zake za mwisho

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silimaakitoa heshima zake za mwisho

Sehemu ya umati mkubwa wa wananchi ukitoa heshima zao za mwisho kwa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow

Mke wa Marehemu akilia kwa uchungu

Mwili wa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukishushwa kaburini

Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema akiweka shada la maua kwenye kaburi la Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima akiwasili kwenye mazishi akiweka shada la maua kwenye kaburi la Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow

Askari wa Jeshi la polisi wakito heshima zao za Mwisho kwa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow.Picha zote na Mdau Ahmed Michuzi