Pages

Thursday, July 5, 2012

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Atoa Msaada Wa Matrekta

Sehemu ya Matrekata hayo
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akijaribu moja ya matrekta matatu aliyokabidhi kwa wawakilishi wa Kijiji cha Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma. Makabidhiano hayo yalifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akipga makofi wakati wa kukabidhi matrekta matatu kwa wawakilishi wa kijiji cha Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma. Makabidhiano hayo yalifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.Picha na Mdau Dande Francis

Popular Posts