TAARIFA KWA MADAKTARI WALIOPO KWENYE MAFUNZO YA VITENDO (INTERNS)*
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAWATANGAZIA MADAKTARI WOTE WANAOFANYA
MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNS), WALIOPEWA BARUA ZA KURUDISHWA KWA KATIBU
MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII, WANATAKIWA KURIPOTI MAKAO MAKUU YA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII IFIKAPO SIKU YA IJUMAA TAREHE 6 JULAI,
2012.
IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
-