Watumishi wa umoja wa watoa Huduma binafsi za afya Tanzania (APHFTA) kanda ya kusini wakiwa karibu na mfumo wa HRIS unaotekelezwa na CSSC kwa kuhusisha wadau wengine ambao ni APHFTA na BAKWATA.
Mratibu wa mfumo wa kukusanya nak kuhifadhi taarifa za watumishi kwa njia ya Kompyuta (HRIS), kutoka CSSC Bw. Petro Pamba akifafanua jambo kuhusu mfumo huo kwa watendaji wa APHFTA kanda ya Kusini – Mbeya.
Wadau kutoka CSSC pamoja na APHFTA wakipitia takwimu za watumishi wa vituo vya afya binafsi vilivyo katika mtandao wa APHFTA kanda ya Kusini
Wadau wakichukua taarifa za watumishi wa vituo binafsi vya afya kanda ya kusini.