
Mambo ya LekaDutigite Kigoma All Stars Concert


Mwanamuziki Machachari Diamond akidatisha Mashabiki


Wadau wakigoma wakisifia Burudani

Watu Kibao

Mheshimiwa Ziitto Kabwe akiongea
MbungewaKawe(Chadema)HalimaMdee(kushoto)akiwajukwaaninaMbungewaVitiMaalumCCM,Ester Bulaya. |

Mheshimiwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA)Zitto Kabwe akiwa na Mashabiki

Mdau Akiwa Mwenye Furaha ndani ya Kigoma All Stars Concert

Waheshimiwa Wabunge Wakiwa kwenye Steji

Wasanii Wakikolezaaa burudani

Mdau Akishowlove ndano ya Kigoma LekaDutigite Kigoma All Stars Concert.Picha zote na Habari zimeletwa hapa na Mh, Zitto Kabwe-Mbunge wa kigoma kaskazini(CHADEMA)