Pages

Sunday, October 28, 2012

Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipoungana na Waislamu kusherehekea Idi el hajj Zanzibar


 Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na baadhi ya waumini waliohudhuria kwenye Baraza la Idi juzi
Maalim Seif akisalimiana na waumini wa dini ya Kiislam katika msikiti wa Ijumaa (Masjid Lootah) Kiembe samaki alikokwenda kusali sala ya Ijumaa juzi
   Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein kwenye baraza la Idi juzi Bwawani
   Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akionesha kufurahishwa na kauli ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume katika Baraza la idi juzi
 Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na baadhi ya waumini waliohudhuria kwenye Baraza la Idi juzi
Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad  akiwa pamoja na Makamu wa pili wa Rais Balozi Seif Iddi Ali na Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume  walipokuwa wakitoka kusali sala ya idi.Picha zote na Hassan Hamad Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

Popular Posts