Pages

Tuesday, September 11, 2012

What Lies Between War and Peace in the Great Lakes?

The Democratic Republic of Congo (DRC) is undeniably facing both a leadership and a humanitarian crisis. The rapid progress of the M23 rebel group and its threat to seize control of Goma show that President Joseph Kabila has very little control over territory outside Kinshasa, particularly the eastern region. As a result, civilians have almost no personal security, with many inhabitants of the east running for their lives for the past 16 years. For most of these people, daily life consists of fear, uncertainty and the ever-present possibility of being murdered, robbed, assaulted, raped or displaced.

The root causes of the current crisis in the DRC can be traced back to the 1994 Tutsi genocide in neighbouring Rwanda. While the genocide is often viewed in isolation, it is in fact one of the key factors explaining the instability in the eastern DRC. When the Rwandan Patriotic Front (RPF) managed to bring an end to the genocide by taking control of Kigali in 1994, many of the Hutu perpetrators, particularly the Forces démocratiques de libération du Rwanda (FDLR), fled across the border into the DRC.

While Rwanda initially had an excuse to put boots on the ground in the eastern DRC, the temptation to gain some control over the natural resources in this region soon became overwhelming. Meanwhile, the international community has long been praising President Paul Kagame for his remarkable success in transforming Rwanda from a country torn apart by civil war and genocide, into one of the safest and fastest developing countries on the continent. It is only in the past month that President Kagame has publically begun to lose favour, after a United Nations Group of Experts (GoE) report claimed that Kigali has been backing the Tutsi-led M23 rebellion in the eastern DRC. The United States' War Crimes Office has subsequently warned that President Kagame may end up facing charges of aiding war crimes in a neighbouring country.

Yet, it is also under President Kagame's leadership that Rwanda has undergone an economic metamorphosis, now being labelled 'the Singapore of Africa'. However, in reality, while President Kagame manages to protect his own citizens, much of the chaos of 1994 has simply moved across the border into the DRC. The genocide in Rwanda was fuelled by hatred against the Tutsis, something that has now become institutionalised among the Congolese in the east. The fact that the mostly Tutsi M23 has caused so much pain for civilians in the last three months is only further entrenching this hatred.

Last week, Rwanda presented its rebuttal to the GoE report to the UN Sanctions Committee on the DRC. Rwanda's Foreign Minister Louise Mushikiwabo led the delegation, while the GoE was represented by Steven Hege. At the weekend Rwanda withdrew its special forces that had been based in the eastern DRC for the past two years. However, the motivation for and implications of this decision are not yet clear. Regardless of the outcome of the UN Security Council's deliberations over the GoE report, Kinshasa and Kigali still have to face the root causes of this crisis. If they do not, what took place in New York will simply be yet another diplomatic distraction instead of a concrete step towards resolving the crisis.

There are various issues that the top leadership of both Rwanda and the DRC need to consider at this point. Firstly, Kigali has to be aware that the instability to which it has been contributing, coupled with the escalating hatred of Tutsis, makes for a toxic cocktail that may eventually spill over into Rwanda itself. While Rwanda may have the upper hand for now, it should not forget that it is significantly smaller than the DRC, which may in future pose a very credible threat to its tiny neighbour. Secondly, Kinshasa has to be aware that while the poor resource governance that has been plaguing the east may have also enabled many actors to enrich themselves, the chaotic situation is not sustainable. If Kigali is indeed backing the M23, something obviously has gone wrong between President Kabila and President Kagame, and allowing a foreign invasion into the eastern DRC is certainly not a way to solve the problem.

There are no quick fixes, but for now the DRC will have to address the poor resource governance, as it is ultimately this poor governance that keeps derailing security sector reform (SSR) efforts. For many in the DRC government's Forces Armées de la République Démocratique du Congo (FARDC) it is much easier to make a living by exploiting the poor resources governance in the east than to take orders from a questionable chain of command that hardly pays them anything. Thus, the failing SSR and the poor governance of resources are mutually reinforcing factors destroying peace in the east.

However, above all the leaders of these two countries, as well as other key players in the region, need to look towards themselves for answers while being honest regarding the implications of the on-going crisis for all of them. Currently, the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) has agreed to address the situation through the establishment of an international 'neutral' force to eradicate 'negative' elements in the east. However, the ICGLR does not have the military or financial capacity, and, most importantly, the 'neutrality' required to establish and deploy such a force.

Thus, at this stage, it is highly unlikely that the ICGLR process will yield any results unless the African Union (AU) and the UN put all their support behind it. Unfortunately, even the AU and the UN do not necessarily have the time or capacity to commit to this at present. They may continue to condemn and call upon Kigali to refrain from supporting a rebel group in the DRC, but this will not bring any quick solutions either. The only solution is a long-term one. Leaders in the Great Lakes have to stop enabling this type of development, as it is after all on their watch that these atrocities take place.

The questions that need to be asked are not what the ICGLR, the AU and the UN are doing, but rather what the leaders of the Great Lakes region are doing in their own countries. Why is President Kabila's leadership so weak that he can hardly react to an invasion by his much smaller neighbour? Why is President Kagame allowed to act with such impunity that he has been able to fuel rebellions and invasions in the DRC almost since the end of the genocide?

Ultimately, the answer to the Great Lakes crisis lies with its leaders. A lack of will on their part will have one simple outcome: the Great Lakes will be plunged even further into chaos, and while the leaders enjoy the protection of well-armed and well-trained bodyguards, ordinary people will remain in the line of fire.

Naomi Kok and Dr David Zounmenou, Research Intern and Senior Researcher, Conflict Prevention and Risk Analysis Division, ISS Pretoria.


*MASHINDANO YA NGUMI YA UBINGWA WA TAIFA KUFANYIKA SEPT 17-22/01212.

Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT)limeandaa mashindano ya ngumi ya ubingwa wa Taifa 2012 yatakayofanyika kuanzia jumatatu ya tarehe 17-22/09/2012 uwanja wa ndani wa taifa (indoor stadium) kila siku kuanzia saa 9.00 alasiri.

Awali mashindano hayo yalipangwa kuanzia Septemba 15, ila yalisogezwa mbele kutokana na uwanja wa ndani wa taifa kuwa na shughuri nyingine ya kimichezo ya ligi ya mpira wa kikapu.

Lengo la mashindano hayo ni kupata timu ya taifa ya ngumi yenye sura ya kitaifa ,itakayoshirikisha mikoa yote ya Tanzania bara, ili kuanza maandalizi ya mapema na ya uhakika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya jumuiya ya madola 2014.

Aidha maandalizi hayo ni pamoja na kujiandaa kwa mashindano ya Afrika 2015, mashindano ya olimpiki 2016, ubingwa wa dunia na mashindano mbalimbali yatakayojitokeza kwa ajili ya kuwakilisha taifa.

''Hadi leo jumla ya mikoa kumi na nane (18) imethibitisha kushiriki mashindano hayo, ambapo mikoa hiyo ni mikoa ya kimichezo ya Temeke, Kinondoni na Ilala, mingine ni Ngome ya JWTZ,JKT, Magereza na Polisi. Mingine ni Pwani, Morogoro, Mbeya, Ruvuma, Dodoma, Kigoma, BukobaTanga, Arusha, Tabora na Mwanza''. alisemaa Makore

''Uongozi wa BFT licha ya kutopata udhamini wa uhakika wa kufanikisha mashindano hayo, kwa kushirikiana na wadau balimbali tumejipanga vema kuhakikisha mashindano hayo yanafanyika kwa kiwango cha hali ya juu ili kufikia lengo la kupata timu bora ya taifa kwa wakati kwa maandalizi ya mapema, ambapo mashindano hayo yana takiwa kufanyika kwa bajeti ya milioni ishirini na sita (26,000,000/=)''. alisema. Makore

Mabadiliko ya ratiba ya mashindano itakuwa kama ifuatavyo:-
TAREHE
MUDA
TUKIO
16/09/2012

Timu zote kuwasili dare s salaam.
17/09/20123
1.00-4.00 Asb
4.00-5.00 Asb
5.00-7.00 Mch
Kupima uzito na afya,uwanja wa taifa wa ndani.
Zoezi la draw na bye na ratiba ya mashindano.
Semina kwa waamuzi,timu manaja,makocha kwa ajili ya kupatiwa kanuni na sheria za mashindano.
18/09/2012
1.00-2.00 Asb
8.00-2.00 Usk
Kupima uzito na afya,uwanja wa taifa wa ndani.
Gwaride la ufunguzi na kuanza mashindano hatua ya mtoano
19/09/2012
1.00-2.00 Asb
9.00-2.00 Usk
Kupima uzito na afya
Mashindano kuendelea hatua ya mtoano
20/09/2012
1.00-2.00 Asb
9.00-2.00 Usk
Kupima uzito na afya
Mashindano kuendelea kwa hatua ya robo fainali
21/09/2012
1.00-2.00 Asb
2.30-8.45Mch
9.00-2.00 Usk
Kupima uzito
Mkutano mkuu wa BFT(indoor stadium)
Mashindano kuendelea hatua ya nusu fainali
22/09/2012
1.00-2.00 Asb
8.00-2.00 Usk
Kupima uzito na afya.
Gwaride la kufunga na kuendelea kwa mashindano hatua ya fainali.
23/09/2012

Timu zote kuondoka
Aidha ajenda za mkutano mkuu wa wanachama wa bft ni mbili tuambazo ni kupitia na kupitisha rasmu ya katiba ya BFT na maandalizi ya uchaguzi wa BFT wa kuwapata viongozi makiniwa kuongoza BFT kwa kipindi cha miaka mine kuanzia marchi 2013 kwa mujibu wa katiba .

Makore Mashaga
Katibu Mkuu BFT.,
Mob:-0713/0784/0763/0773 -58 88 18
Email:- mashagam@yahoo.om

*MUSSA MGOSI, AYOUB HASSAN WAPIGWA 'STOP' JKT RUVU, TWITE, YONDANI WACHEZAJI HALALI WA YANGA

Musa Hassan Mgosi, Ayoub Hassan Isiko
Mchezaji Musa Hassan Mgosi ameombewa usajili Ruvu JKT kutoka DC Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), na Ayoub Hassan Isiko ameombewa usajili Mtibwa Sugar kutoka Bull FC ya Uganda.
Wachezaji hao hawaruhusiwi kuchezea timu hizo mpaka Hati zao za Uhamisho wa Kimataifa (ITC) zitakapokuwa zimepatikana.
YANGA DHIDI YA SIMBA KUACHA WACHEZAJI WANNE:-
Kamati imetupilia mbali pingamizi hizo kwa vile hakuna malalamiko yoyote kutoka kwa wachezaji juu ya kuvunjiwa mikataba yao.
Wachezaji hao walioachwa na Simba ni Dan Mrwanda, Haruna Shamte, Kanu Mbiavanga na Lino Masombo.
Ikiwa wachezaji hao watakuwa na malalamiko kuhusu kuvunjiwa mikataba suala hilo litafikishwa katika Kamati kwa ajili ya kusikilizwa na kutolewa uamuzi.
MBUYU TWITE:-
Kwa mujibu wa Ibara ya 18 (3) ya Kanuni za Hadhi na Uhamisho wa Wachezaji wa Kimataifa za FIFA, Yanga ilifuata taratibu zote katika kumsajili Mbuyu Twite, hivyo ni mchezaji halali wa timu ya YANGA. Hata hivyo, kwa vile Yanga imekiri kuwa mchezaji huyo alichukua dola 32,000 za Simba na kukiri kuzirejesha, kwa msingi wa kanuni ya Fair Play, Kamati imeipa Yanga siku 21 iwe imelipa fedha hizo kwa Simba.
KELVIN YONDANI:-
Kwa mujibu wa Ibara ya 44 (3) ya Kanuni za Uhamisho wa Wachezaji za TFF, Yanga ilifuata taratibu zote katika kumsajili Kelvin Yondani, hivyo ni mchezaji halali wa timu ya YANGA.
Kwa vile Simba imesema mchezaji huyo vilevile alisaini mkataba na klabu yao, imetakiwa kupitia mamlaka nyingine kuthibitisha hilo, na baada ya uthibitisho iwasilishe malalamiko yake kwenye Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji, au mamlaka zozote za kisheria kwa mujibu wa madai/lalamiko husika.
Alex Mgongolwa
Mwenyekiti

Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji
Toto dhidi ya Kagera Sugar kumsaini Enyinna Darlinton Ariwodo,
Toto Africans ilipinga usajili wa Enyinna Darlinton kwa timu ya Kagera Sugar kwa vile bado ina mkataba wa mchezaji huyo ambao unamalizika mwakani.
Kwa upande wake Kagera Sugar, ilisema imemsaini mchezaji huyo kwa vile Toto Africans imeshindwa kumlipa mshahara ambapo kuna makubaliano rasmi kati ya Ariwodo kuwa klabu hiyo ikishindwa kumlipa mshahara anaruhusiwa kuondoka.
Uamuzi wa Kamati ni kuwa Ariwodo ni mchezaji halali wa Kagera Sugar kwa vile Toto Africans ilishindwa kutimiza masharti ya mkataba.
Ramadhan Chombo ‘Redondo’
Redondo ameidhinishwa kuchezea Simba kwa kuzingatia mchezo wa haki na uungwana (Fair Play) baada ya klabu hiyo na ile ya Azam kufikia makubaliano kuhusu mchezaji huyo.
Mchezaji David Luhende kusajiliwa Yanga
Yanga ilikiri kutolipa ada ya uhamisho ya sh. milioni 5 kama walivyokubaliana na Kagera Sugar. Awali waliipa Kagera Sugar hundi iliyogonga mwamba benki (bounced cheque). Shauri hilo lilimalizwa kwa Yanga imetakiwa kulipa fedha hizo ndani ya siku 21 kuanzia Septemba 10 mwaka huu.
Super Falcon dhidi ya Edward Christopher kusaini Simba
Simba imepewa siku 21 kuanzia Septemba 10 mwaka huu iwe imeilipa Super Falcon fedha za matunzo (compensation) kwa vile ndiyo iliyomlea mchezaji Edward Christopher aliyesajiliwa katika klabu hiyo.
Toto Africans dhidi ya Mohamed Soud kusajiliwa Coastal Union
Toto Africans iliweka pingamizi kwa maelezo kuwa bado ina mkataba na mchezaji huyo. Hivyo kwa msingi wa Fair Play, mchezaji huyo ameidhinishwa Coastal Union baada ya makubaliono kati ya klabu.
Rollingstone dhidi ya Kigi Makassy kusajiliwa Simba
Simba imetakiwa kuilipa Rollingstone gharama za matunzo ilizoingia wakati ikiwa na mchezaji huyo kwa kuzingatia kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Super Falcon dhidi ya Sultan Juma Shija kusajiliwa Coastal Union
Uamuzi wa Kamati ni kuwa Shija atachezea Coastal Union, na kwa vile yuko chini ya umri wa miaka 23, Coastal Union itailipa Super Falcon fidia ya fedha ilizotumia kumhudumia mchezaji huyo.
African Lyon dhidi ya Razak Khalfan kusaini Coastal
Lyon imesema bado ina mkataba na mchezaji huyo. Kamati imebaini kuwa mkataba wa mchezaji huyo na Lyon umemalizika, hivyo ni mchezaji halali wa Coastal Union.
Flamingo dhidi ya Kelvin Friday kusajiliwa Azam
Friday ruksa kucheza Azam, lakini klabu hiyo imepewa siku 21 kuanzia Septemba 10 mwaka huu kuilipa Flamingo gharama za kuvunja mkataba.
Super Falcon dhidi ya Robert Joseph Mkhotya kusaini African Lyon
Lyon imeagizwa kuilipa Super Falcon sh. milioni moja ikiwa ni fidia ya kuvunja mkataba wa mchezaji huyo ambaye imemsajili. Fedha hizo zitalipwa kwa awamu nne kutokana na makato ya mlango yatakayofanywa na TFF. Falcon itapokea malipo hayo kupitia TFF.
Oljoro JKT dhidi ya Othman Hassan kusajiliwa Coastal
Kwa mujibu wa rekodi za TFF, mkataba wa mchezaji huyo na Oljoro JKT unamalizika mwakani. Hivyo, Othman Hassan ni mchezaji halali wa Oljoro JKT kwa vile bado ana mkataba na klabu hiyo.

MKUTANO WA 14 MAWAZIRI WA MAZINGIRA BARANI AFRIKA KUANZA KESHO MKOANI ARUSHA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Theresia Huvisa akizungumza na wandishi wa habari jijini Arusha leo kuhusiana na maandalizi ya mkutano wa 14 wa Mawaziri wa Mazingira kutoka barani Afrika Tanzania ikiwa mwenyeji wa mkutano huo.
---
Na.MO BLOG -Arusha
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) nchini Tanzania Mh. Theresia Huviza anatarajiwa kutangazwa rasmi kuwa Rais wa Mazingira kwa Afrika katika Mkutano wa 14 wa Mawaziri wa mazingira unaofanyika Arusha nchini Tanzania kuanzia kesho hadi tarehe 14 mwezi huu.
Waziri Huviza ataongoza kwa kipindi cha muda wa miaka miwili ambapo baada ya hapo nafasi hiyo itachukuliwa na nchini nyingine.
Mkutano huo umefanikishwa na European Union, Ubalozi wa Norway, Global Environmental Facility, UNEP na UNDP na wajibu mwingine ukifadhiliwa na serikali yenyewe.Bajeti ya maandilizi ya mkutano huo imegharimu takriban dola za kimarekani 350,000 sawa na shilingi za Tanzania zaidi ya milioni mia 6.
Pichani juu na chini ni Watoto wakifanya mazoezi ya wimbo maalum watakaoimba kesho kwenye mkutano wa 14 wa mawaziri wa mazingira barani Afrika mbele ya Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) nchini Tanzania Mh. Theresia Huviza.
Harriet Macha kutoka Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa(kushoto) akitoa maelezo mmoja wa wadau wa mazingira aliyefika katika banda la Umoja wa Mataifa lililopo katika jengo la AICC utakapofanyika mkutano wa 14 wa mawaziri wa Mazingira.
Afisa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa Tanzania Hoyce Temu aktioa maelezo kwa mmoja wa wadau ya namna Umoja wa Mataifa inavyoshirikiana na Serikali ya Tanzania katika utunzaji wa Mazingira kupitia mpango wa mazingira (UNEP) uliopo chini ya Umoja wa Mataifa.
Banda la ROA OZONE ACTION PROGRAMME chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais na UNEP wakitoa maelezo katika kutunzaji wa mazingira kwa wananchi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif Ali Iddi ameiagiza Wizara ya Afya kuandaa mkakati wa kujenga Hospitali kubwa Wilaya ya kati

Msimamizi wa Kituo cha Afya cha Kendwa Nungwi Bwana Viola Franco kutoka Hoteli ya Kimataifa ya Lagema Nungwi inayosimamia Kituo hicho akimkaribisha Balozi SeifAli Iddi wakati alipofanya ziara ya kukitembelea Kituo hicho kipya kuona hudumazinazotolewa
Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Kivunge Dr. Ashura Shaib Mussa akimuelezea majukumu yao Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif alipoitembelea Hospitalihiyo iliyopo Wilaya ya Kaskazini A.
Mkurugenzi wa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Dr. Jamal Adam akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif changamoto wanazopambana nazo Hospitalini hapo ikiwemo idadi kubwa ya wagonjwa.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif Ali Iddi akiwafariji wazazi Hawa Mashauri na Fatma Mohd waliojifungua katika wodi ya Wazazi ya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja alipofanya ziara ya awamu ya pili katika taasisi za Wizara ya Afya Zanzibar.
--
Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar umeagizwa kuandaa Mpango Maalum kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali kubwa ndani ya Wilaya ya Kati itakayosaidia kuipunguzia msongamano mkubwa wa Wagonjwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja.
Agizo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipokuwa akiendelea na awamu ya pili ya ziara yake ndani yaTaasisi za Wizara ya Afya hapa Zanzibar.
Balozi Seif aliueleza Uongozi wa Wizara hiyo ya Afya kwamba Serikali Kuu itakuwa tayari kuangalia uwezekano wa uwezeshaji wa ujenziwa Hospitali hiyo muhimu kwa Jamii.


“ Tumefikia wakati kulingana na mahitaji ya huduma za Afya kwa wananchi wetu kuwa na Hospitali kubwa katika kila Wilaya na hii kwa kiasi kikubwa itaondosha vurumai isiyo ya lazima katika Hospitali yetu ya Rufaa ya Mnazi Mmoja”. Alisisitiza Balozi Seif.
Balozi Seif alisema katika kukabiliana na changamoto zinazoikabili Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja ameahidi kusaidia Vitanda 10 kwa ajili ya wodi ya Wazazi na Serikali itajitahidi kutafuta mbinu za kutatuta changamoto chengine zilizopo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliwapongezaWatendaji wa Hospitali hiyo kwa utendaji wao wa kazi licha ya mazingira magumu wanayofanyia kazi.
Balozi Seif alishuhudia idadi kubwa ya Wagonjwa wanaopata huduma katika Hospitali hiyo ambapo Mkurugenzi wa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Dr. Jamal Adam alieleza kwamba uwezo wa kuhudumia wagonjwa bado ni ule ule tokea miaka ya thamanini wakati idadi ya wagonjwa imeongezeka mara dufu.
Akiitembelea Hospitali ya Wazazi ya Muembe Ladu BaloziSeif alielezwa na Watendaji wa Hospitali hiyo mfumo mpya ulioanzishwa wa makuz iya mtoto kwa yule aliyezaliwa akiwa pungufu wa uzito ujuilikanayo kwa jina la Kangaroo.
Mafunzo hayo tayari yameshaanza kufundishwa kwa Wazazi mbali mbali kwa lengo la kujiweka tayari endapo Mzazi atatokezewa kujifungua Mtoto mpungufu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif alikagua utendaji wa wafanyakazi wa Hospitali ya Kivunge ambapo Muuguzi mkuu wa Hospitali hiyo Dr.Ashura Shaib Mussa alishauri kuwepo kwa Kitengo cha Upasuaji ili kuwapunguzia hatari wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo ya ghafla.
Dr. Ashura alisema ipo hatari na inaweza kusababisha kifo kwa mzazi anayehitaji operesheni ya ghafla kwa kumsafirisha katika masafa marefu kupatiwa hudumahiyo.
Akizungumza na Watendaji hao Balozi Seif aliwapongeza Madaktari, Wauguzi pamoja na Wafanyakazi wote wa Hospitali ya Kivunge kwajuhudi zao za kuiwekea mazingira safiHospitali hiyo.
Balozi Seif aliahidi kuipatia Hospitali hiyo Vitanda kumi na kuwataka wajenge utamaduni wa kuvifanyia majaribio Vifaa vipya wanavyopelekewa hata kama itakuwa bado kuvifanyia kazi pamoja na kuyapatia changa moto matatizo yanayowakabili.
“Kama sijajua matatizo na changamoto zilizomo ndani ya Mawiza na Taasisi za Serikali wakati mimi ndie Mtendaji Mkuu wa Serikali nitashindwa kutoa maamuzi au ufafanuzi pale unapohitajika”. Alisema Balozi Seif.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alimalizia ziara yake kwa kukaguwa Hospitali mpya ya Wazazi iliyopo katika Kijiji cha Kendwa ambayo imefadhiliwa na Uongozi wa Hoteli ya Kimataifa ya Lagema. Daktali Mkuu wa Hospitali hiyo iitwayo R.G.F Matenity Clinic Dr. Hawa Kivembele alimueleza Balozi Seif kwamba huduma za Hospitali hiyo ambazo ni bure zilizoanza mapema mwezi huu zimelengwa kwa wanakijiji wa eneo hilo.
Hata hivyo Dr. Hawa alisema mbali ya wanakijiji haolakini pia Hospitali hiyo hutoa huduma ya malipo kwa Wafanyakazi wa Hoteli zotezilizoko katika ukanda huo

Na
Othman Khamis Ame,
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar

WANANCHI WA MCHINGA WAMPONGEZA MBUNGE WAO KWA KUCHAGULIWA KUWA MBUNGE WA AFRICA MASHARIKI

Mbunge wa Mchinga(CCM) Mheshimiwa Said Mtanda akiongea na wananchi wake na kuwashukuru sana kwa pongezi na ameahidi kufanikisha mengi ya maendeleo katika jimbo lake. 
Mheshimiwa Tambwe Hiza(CCM) akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mchinga katika sherehe za kumpongeza Mbunge wao Mh. Said Mtanda kwa kuchaguliwa kuwa mbunge wa Africa mashariki
Mbunge wa Mchinga Mheshimiwa Said Mtanda akipokewa kwa Shangwe na Vijana wa Jimbo lake

MAANDAMANO YA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Nevile Meena akihutubia katika mkutano uliofanyika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam jana, kulaani ktendo cha Polisi kumuua kwa bomu Mwandishi wa habari wa Kituoc ha Televisheni cha Channel Ten, Mkoa wa Iringa, marehemu Daudi Mwangosi katika vurumai zilizotokea wakati Chadema wakifungua tawi katika Kijiji cha Nyololo, wilayani Mufindi hivi karibuni.
Huyu ni Manyerere Jackton na bango lake
Hili ni moja ya mabango waliyokuwa nayo waandishi
Jese Kwayi, Mzee Maro na mwezake wakiwa kwenye maandamano hayo
" Dk. Nchimbi ondokaaaaa" mwandishi akipaza sauti kuungana na wenzake waliokuwa wanamkataa kuwepo Kwa waziri wa mambo ya ndani Dk Emmanuel Nchimbi
Mwandishi Lauden Mwambona akiwa amefunga mdomo kama hivi wakati wa maandamano hayo
Hawa nao wakati mmoja ameziba mdomo, mwenzake akaziba macho kufikisha ujumbe wa kulaani mauaji ya Mwangosi
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi akiingia kwenye mkutano wa wanahabari viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam leo, walioandamana kupinga mauaji ya mwandishi mwenzao, Daudi Mwangosi wa Channel Ten Tv,
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk.Emmanuarl Nchimbi akajaribu kuwatuliza... waandishi bila mafanikio amabao walimtaka aondoke haraka enepo hilo
Waziri wa Mambo ya Ndani Dk.Emmanuarl Nchimbi akiondoka akisindikizwa na viongozi wa Jujwaa la Wahariri
Waandishi wakiingia viwanja vya Jangwani.Picha zote na Mdau Richard Mwaikenda na Bashir Nkromo

Vodacom Tanzania na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom,Rene Meza akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ligi , Said Abeid mkataba wa udhimini wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara,katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom,Rene Meza akimfafanulia jinsi mkataba ulivyo wa udhamini wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ligi ,Said Abeid,katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam,wanaoshuhudia wapili toka kushoto Makamu wa pili wa Rais wa TFF, . Nasibu Nyamlani,Ofisa Mkuu wa maswala ya Sheria wa Vodacom Bw.Wallarick Nittu.
--
. Klabu ya Simba Sports Club ndio bingwa mtetezi.
.Msimu wa ligi kuanza Septemba 15, na kushirikisha timu 14.
. Polisi Morogoro, Tanzania Prisons na Mgambo JKT ni timu mpya katika ligi.
-
Dar es Salaam, 11 Septemba, 2012…….
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) leo limeingia katika mkataba wa udhamini kutoka kwa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati maandalizi ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania yakielekea ukingoni.
Kampuni ya Vodacom imekuwa mdhamini wa ligi kuu kwa miaka mitano iliyopita, na sasa imeingia mkataba mpya wa udhamini kwa miaka mitatu na TFF, mkataba utakao liwezesha shirikisho hilo kupoea fedha za udhamini kwa miaka mitatu.
Ligi kuu ya Vodacom itaanza tarehe 15 ya mwezi huu, ikitarajia kushuhudia michezo 182 ikichezwa katika viwanja mbalimbali na kushirikisha timu 14, zikiwemo timu za Dar es Salaam Young Africans, Kagera Sugar na Simba Sports Club ambaye ndie bingwa mtetetzi wa kombe hilo.
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, amesema kuwa kampuni ya Vodacom iko katika mstari wa mbele katika kuunga mkono maendeleo na shughuli mbalimbali za kimichezo ndani ya nchi.
“Wanamichezo wote ni mabalozi wazuri katika nchi. Ni wajibu wetu kuhakikisha kuwa tunawaunga mkono katika kutambua na kukuza vipaji vyao kadri tutakavyo weza,” alisema Meza na kuongeza kuwa, “Kama jina linavyojulikana ligi kuu ya Vodacom, kombe hili linashuhudiwa na mashabiki zaidi ya milioni 10 katika mechi 182 zitakazo chezwa sehemu mbalimbali za Tanzania bara.”

Meza amejivunia kampuni hiyo kuwa wadhmini wa ligi kuu kwa kipindi kingine, na kufafanua kuwa mpira wa miguu ndio unaongoza kitaifa na unapendwa na Watanzania wengi.
Michuano ya mwaka huu itashuhudia timu mpya tatu ambazo ni timu ya Polisi Morogoro, Tanzania Prisons na Mgambo JKT. Mkataba huu umehusisha pande zote ambazo ni kampuni ya Vodacom Tanzania, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kamati ya ligi.

Kwa upande wake makamu wa Rais wa TFF, Nasibu Nyamlani, ameipongeza kampuni ya Vodacom Tanzania akisema kuwa anaamini kuwa maendeleo ya sasa yatalenga zaidi katika kuunga mkono vipaji vipya na vilivyopo ndani ya nchi.

“Kwa niaba ya TFF, napenda kuwashukuru Vodacom Tanzania kwa kuonyesha nia na kuendelea kuunga mkono mpira wa miguu nchini. Nasi tunaahidi kuendelea kuthamini vipaji vya wachezaji wetu na kuhakikisha tunapata mafanikio zaidi,” alisema Nyamlani.
Mwisho …

Maazimio Ya Kikao Cha Kamati Kuu ya CHADEMA

Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Siasa cha Upinzani nchini Tanzania cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bw. Freeman Mbowe (Mb) (katikati) akitoa maazimio ya Kamati Kuu ya yaliyotolewa katika kikao maalum. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Dkt. Wilbrod Slaa na kushoto ni Makamu Mwenyekiti Taifa Bw. Said Issa Mohammed.
--
1.Uwajibikaji wa kisiasa wa viongozi wa serikali na idara zake.,Waziri Emmanuel Nchimbi,IGP Mwema,Paul Chagonja,RPC Morogoro na Kamanda wa FFU,na RPC IRINGA na Kamanda wa FFU wajiuzulu na au wafukuzwe kazi

2.RPC Morogoro na Iringa,makamanda wa FFU Morogoro na Iringa,na maaskari waliouwa wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka

3.Rais aunde tume huru ya uchunguzi wa vifo tata katika matukio ya kisiasa.1.ARUSHA vifo 3.IGUNGA,vifo vingi havijulikani bado,3.ARUMERU MASHARIKI,vifo 5, 4.SINGIDA kifo 1, MOROGORO na IRINGA
chadema haitatambua wala kushirikiana na kamati batili ya NCHIMBI.

4.Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa ni mtu hatari kwa taifa kwa kauli tata anazozitoa.anashirikiana na au anajipendekeza kwa CCM na Serikali yake.CHADEMA tangu sasa haitafanya kazi na Tendwa wala kufanya mawasiliano naye ya kiofisi.Labda kama atagundua makosa yake na kuomba msamaha,chadema itatafakari namna ya kufanya naye kazi tena.

5.TBC TAIFA Television na Redio ni hatari kwa taifa,kwa kubobea kupotosha umma juu ya matukio mengi.Hivyo CHADEMA Inatangaza mgogoro na TBC na inaelekeza na kuomba wanachama ,wapenzi,na wananchi wote wapendao ukweli na haki,kuisusia TBC

6.Jeshi la Polisi lijue kuwa Maandamano ndiyo siasa yenyewe na mikutano ya hadhara ni lazima kwa mawasiliano ya umma na siasa.kuzuia vitu hivyo ni kunyima wananchi haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika na kutoa maoni,pia kupata habari na taarifa

7.Operesheni MOVEMENT FOR CHANGE M4C,Inaendelea kadiri ya ratiba ilivyopangwa katika utaratibu uleule uliokuwepo awali.Inarejea Iringa Siku si nyingi.Na kamati kuu Imetoa msisitizo MAALUM kwa jimbo mojawapo singida,ambapo wamesema watatumia helcopita,magari,pikipiki na baiskeli na miguu,na badala ya kupita vijijini kama majimbo mengine,Chadema wanasema kwa sababu maalum katika jimbo hilo watapita kitongojikwa kitongoji,ili kufunza adabu baadhi ya viongozi (msisitizo ni wa msoma MAAZIMIO.jimbo hili laweza kuwa la Mwigullu Mchemba,kadiri ya wanahabari waliokuwepo)

8.Kutokana na mgogoro wa muda mrefu mkoani mwanza uliosababisha meye wa chadema kuvuliwa umeya kinyume na utaratibu na kwa njama za CCM na Serikali,na bahati mbaya sana kwa kushirikisha madiwani wa CHADEMA,KAMATI KUU imewavua UANACHAMA madiwani wake wawli 1 ADAMU CHAGULANI wa kata ya IGOMA na HENRY MATATA wa KITANGIRI, PIA uongozi wote wa CHADEMA mkoa wa mwanza Umevunjwa.

Imesomwa na
Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Popular Posts