Pages

Showing posts with label Burundi. Show all posts
Showing posts with label Burundi. Show all posts

Tuesday, July 3, 2012

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Waziri mkuu wa Ubelgiji Bwana Didier Reynders

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Waziri mkuu wa Ubelgiji Bwana Didier Reynders mjini Bujumbura Burundi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu mkuu wa Maziwa Makuu Professa Ntumba Luaba Alphonse

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu mkuu wa Maziwa Makuu Professa Ntumba Luaba Alphonse mjini Bujumbura Burundi leo.Picha na Freddy Maro-IKULU

Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Waudhuria Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Burundi Mjini Bujumbura

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakifurahia jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Burundi yaliyofanyika mjini Bujumbura Jana asubuhi.Kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na viongozi wengi ne waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Burundi mjini Bujumbura jana asubuhi.kutoka kishoto ni Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Teodoro Nguema wa Equatorial Guinea,Mwenyeji Rais Pierre nkurunzinza wa Burundi na mkewe na, Rais Mwai Kibaki wa Kenya. Picha na freddy Maro-IKULU

Popular Posts