Pages

Showing posts with label Ruvuma. Show all posts
Showing posts with label Ruvuma. Show all posts

Friday, July 27, 2012

Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa Mkoani Songea

Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa katika uwanja wa ndege wa Songea.
Meya wa manispaa ya Songea mstahiki Charles Mhagama akisamiana na rais mstaafu wa awamu wa tatu Mhe Benjamin Mkapas baada ya kutua mjini Songea
Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti kushoto akimuongoza Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa kwenda kuangalia vikundi vya ngoma katika uwanja wa ndege mjini Songea.
Rais wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa akiangalia vikundi vya ngoma (havipo pichani) katika uwanja wa ndege wa Songea akiwa na kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mhe Joseph Mkirikiti. Katikati ni mwenyekiti wa CCM mkoa Cornel Msuha kulia ni mama Anna Mkapa na wa pili kulia mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu Mama Afisa Mwambungu.

Tuesday, June 12, 2012

Jakaya Kikwete Amwapisha Mkuu Mpya Wa Mkoa wa Ruvuma


Katibu Tawala mpya wa mkoa wa Ruvuma Bwana Hassan Mpapi Bendeyeko akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam

Popular Posts