Pages

Showing posts with label Maonyesho ya Biashara - Trade Shows. Show all posts
Showing posts with label Maonyesho ya Biashara - Trade Shows. Show all posts

Monday, July 2, 2012

Banda la Rural Energy Agency katika maonesho ya Sabasaba mwaka 2012

Miongoni mwa vivutio vikubwa katika maonesho ya mwaka huu ni kuwepo kwa makampuni yenye kutengeneza vifaa vitumiavyo tekenolojia rafiki kwa mazingira moja ya kampuni hizo ni BEDOKO LTD inayoshughulika na utengenezaji wa vifaa kwa ajili ya nishati mbadala.
Katika maonesho haya wako katika banda la REA wakitazamana na baa ya Longai ,sambamba na banda la TANESCO katika viwanja vya sabasaba na kiwanda chao kiko eneo la Mtoni Mtongani hapa Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi waweza wasiliana nao:
P. O . Box 21117
+255719372711 / +255767577951
beduko2012@gmail.com


Hawa ni baadhi ya maofisa katika banda la REA Kutoka kushoto Ndugu Suleiman Mbwambo , Ms Asha Mtola , na CEO wa BEDOKO Ltd Mr Berny Komba .

Mdau unaona kuni maalumu kwa nishati mbadala , REA wana kauli isemayo " A tree saved is better than a tree planted"


Mitambo ya nishati mbadala katika picha .

Huyu ni Ofisa katika Banda hilo Ndugu Francis Julius Rwebogora aka CHICHI akiwa katika pozi la kibishara

Bidhaa mbalimbali katika banda hilo.

Banda la ATCL katika maonesho ya kimataifa ya biashara Dar 2012

Ofisa wa ATCL Ms Sofia katika banda lao lililoko ndani ya banda kubwa la wizara ya maliasili na utalii.

Kwa mbali screen kubwa ikionyesha huduma za ATCL, na Dada Sofia akiwa tayari kuhudumia wateja wanaotembelea katika banda hilo.

Forest Industries Training Institute katika maenesho ya biashara Dar 2012

Forest Industries Training Institute (FITI) - Moshi was established in 1975 through financial assistance from the Swedish government under SIDA.The institute is registered by National Council for Technical Education (NACTE) and obtained full accreditation in January 2008

FITI Vision
FITI strive for excellence in the provision of quality technical forest and wood industries services
FITI Mission
To design and conduct demand driven carryout training courses,research and consultancy services all applying effective and modern technology to improve quality products and services in mechanical wood processing industries in Tanzania.



Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia kwa:
Principal Forest Industries Tarining Institute
P. O. Box 1925
Moshi
2550272755016
info@fiti.ac.tz
www.fiti.ac.tz

Popular Posts