Pages

Showing posts with label SONGEA. Show all posts
Showing posts with label SONGEA. Show all posts

Friday, July 27, 2012

Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa Mkoani Songea

Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa katika uwanja wa ndege wa Songea.
Meya wa manispaa ya Songea mstahiki Charles Mhagama akisamiana na rais mstaafu wa awamu wa tatu Mhe Benjamin Mkapas baada ya kutua mjini Songea
Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti kushoto akimuongoza Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa kwenda kuangalia vikundi vya ngoma katika uwanja wa ndege mjini Songea.
Rais wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa akiangalia vikundi vya ngoma (havipo pichani) katika uwanja wa ndege wa Songea akiwa na kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mhe Joseph Mkirikiti. Katikati ni mwenyekiti wa CCM mkoa Cornel Msuha kulia ni mama Anna Mkapa na wa pili kulia mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu Mama Afisa Mwambungu.

Monday, June 4, 2012

ZIARA YA NAPE NNAUYE MKOANI SONGEA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisalimia na wazee baada ya kuwasili Kata ya Tanga, wilayani Songea, ambako yalifanywa mapokezi yake.

Nape akizindua mradi wa mabanda 119 ya biashara eneo la Mshengano,Songea. Vibanda hivyo vya biashara vimejengwa na CCM kwa sh. milioni 206

Nape akimtuza kijana wa Madrasaatul Nabai ya Masigira, baada ya kijana huyo kuomba dua alipowasili mjini Songea

Msafara wa pikipiki ukiongoza msafara wa Nape kwenda Uwanja wa Maji Maji.
Nape akishiriki kucheza ngoma baada ya kuwasili Uwanja wa MajiMaji.
Nape akisalimiana na wakazi wa mji wa songea waliojitokeza katika viwanja vya majimaji kuja kumsikiliza pindi alipokuwa akiiingia kiwanjani.

Nape akipita kwenye kanga zilizotandikwa na kina mama waliovutiwa na hotuba yake


Nape akiagana na wananchi wa Songea waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa majimaji kuja kumsikiliza.
Nape akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia mamia ya wakazi wa songea walipojitokeza kuja kumsikiliza katika uwanja wa majimaji.

Popular Posts