Pages

Showing posts with label University of Dar es salaam - Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Show all posts

Monday, July 2, 2012

BANDA LA UDSM KATIKA MAONYESHO YA SABASABA 2012

Baadhi ya maofisa wa UDSM kutoka kushoto ni Ms Agatha, Ms Noela na Ndugu Kitwana Ramadhani
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kampasi ya Mwl Nyerere mlimani wanashiriki katika maonesho ya 36 ya biashara ya kimataifa yanayoratibiwa na TANTRADE , wapo karibu na Home shopping Centre na wanatazamana na Banda la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Dr Omary K. Mbura wa pili kutoka kulia akiwa na baadhi ya maofisa wa UDSM mbele ya banda lao.

UCC nao hawako nyuma kutoka kushoto anayerekebisha tai ni Nongwa aka balozi wa amani , Mayala Mwendesha , Mwamsamali na Seleman Kitwana.

Maofisa toka UCC wakisubiri kutoa huduma kwa wateja wanotembelea banda la UDSM.

Popular Posts