Kocha mpya wa timu ya African Lyon ya jijini Dar es Salaam,  inayoshiriki  Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Pablo Ignacio Velez,  kutoka  Argentina, akizungumzi na waandishi wa habari jijini Da re Salaa leo  mchana wakati wa utambulisho wake na mkataba wa kuifundisha timu hiyo kwa  ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu unaotarajia kuanza Septemba Mosi mwaka  huu. Kocha huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu na timu hiyo. Katikati  ni Mkurugenzi wa ufundi na Biashara wa timu hiyo, Charles Otieno (kushoto) ni Meneja Mkuu na Mmiliki wa timu hiyo, Rahim Kangezi. Picha na Mafoto Reporter **************************************************
Na Sufianimafoto, Reporter
KOCHA  mpya wa timu ya soka ya African Lyon, Pablo Ignacio Velez, amewasili  nchini tayari kuanza kuinoa timu hiyo na kuomba apewe muda wa kukisuka  upya kikosi hicho huku akiahidi mabadiliko zaidi ya soka kwenye timu  hiyo.
Pablo  raia wa Argentina aliyasema hayo jana baada ya kusaini mkataba wa mwaka  mmoja kuitumikia timu hiyo na kusisitiza lengo lake kubwa ni  kuhakikisha vijana wanapewa nafasi ya kuonyesha vipaji vyao na ndivyo  itakavyokuwa Afrika Lyon.
"Sikuja  Tanzania kutafuta pesa, ndoto yangu kubwa ilikuwa kufundisha soka  barani Afrika hivyo wakati ni sasa," alisisitiza kocha anayezungumza  lugha ya 'kiispanyola'.
Pablo  alisema "kazi ya aina yoyote lazima ipewe muda na mchezaji lazima  atengenezwe hivyo watanzania wawe na subira kwa ajili ya kupata matunda  mazuri ya vijana hapo baadae kutoka African Lyon.
Kocha  huyo aliyewai kuzichezea timu za taifa za vijana chini ya miaka 17 na  20 za Argentina hakusita kusisitiza suala la nidhamu kwa wachezaji wa  timu hiyo ya ndani na nje ya uwanja.
"Nidhamu  ni muhimu kwa wachezaji wangu cha msingi tushirikiane katika  kufanikisha hili kwa vijana kwani mchezaji anatakiwa kati ya miaka 18 na  19 awe ametengeneza jina kupitia soka ,"  alisema Pablo.
Naye Mmiliki wa African Lyon, Rahmu Kangezi alisema lengo la kumleta kocha huyo ni kuhakikisha timu hiyo inajongea mbele zaidi.
Kangezi  alisema licha ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja lakini wanaweza  kumtumia Pablo kwa kipindi kirefu kulingana na mfumo wa kuhakikisha  wanaendeleza vijana katika timu yao.
"Pablo  ni zaidi ya kocha, ana uwezo pia amecheza mpira pia ni kocha wa kwanza  kutoka Argentina kuja Tanzania hivyo tunaimani timu yetu ya African Lyon  itafika mbali zaidi kisoka," alisitiza Kangezi.
Pablo  mwenye miaka 38 aliyechukua mikoba iliyoachwa na Jumanne Chale amewai  kuifundisha  klabu ya Atletico Colo Colo De Chile (1998).
Klabu  nyingine alizowahi kufundisha ni Atletico Calchin (2000), Atletico  Belgrano De Cordoba (1997), Atletico River Plate (1993-1995).
Klabu  nyingine ni Banco De Cordoba (1991 na 1997), Deportivo Lasallano (1992)  Atletico Argentino Penarol kwa miaka minne na klabu nyingine nyingi za  Hispania na Argentina.
C.V.
PABLO VELEZ.
SOCCER COACH.
PHYSICAL TRAINER.
PERSONAL DATA.
GENERAL INFORMATION PROMPTS.
NAMES:     PABLO IGNACIO.
SURNAME:     VELEZ.
NATIONALITY:     ARGENTINEAN.
DNI:     23195057.
PLACE AND DATE OF BIRTH:     CÒRDOBA, ARGENTINA.  JANUARY 28, OF 1973.
AGE:     38 YEARS OLD.
DRESS:     AGUADA DEL MONTE 8757. VILLA RIVERA INDARTE. ARGUELLO. CORDOBA. ARGENTINA.
PHONE NUMBER:   0351 157038916.  
E-MAIL:         pf.pablovelez@hotmail.com.ar  
ACADEMIC FORMATION.
ELEMENTERY SCHOOL:     INSTITUTO HOGAR LA INMACULADA.
HIGH SCHOOL:     INSTITUTO HOGAR LA INMACULADA.
COLLEGE EDUCATION:
1) BLAS PASCAL UNIVERSITY:
    COMPUTER SYSTEMS ANALYST.
     PROGRAMMER ANALYST.
   PC OPERATOR.
2)  ASSOCIATION OF ARGENTINIAN SOCCER COACHES (A.T.F.A.) – NATIONAL SCHOOL OF TECHNICIAN Nº29 – CÒRDOBA BRANCH:
      SOCCER COACH.
3)  UNIVERSIDAD NACIONAL DE CÒRDOBA (UNC), FACULTAD DE CIENCIAS MEDICAS / INSTITUTO DE FISIOLOGIA HUMANA:
      PHYSICAL TRAINER.
    PERSONAL TRAINER.
       FITNESS INSTRUCTOR.
  INSTRUCTOR of techniques of adaptation:  Column disorders, 
    Metabolic disorders (Obesity/Diabetes Type 2),     
    Cardiovascular Rehabilitation.
4)  HECTOR GONZALES CEBALLOS KARATE SCHOOL:
  
     KARATE INSTRUCTOR / BLACK BELT/ 1st DAN.
SPORTS ANTECEDENTS.
CLUB:          ATLETICO ARGENTINO PEÑAROL.
DIVISION:       6TH, 5TH, 4TH, 3RD, AND 1ST.   
PERIOD:           YEARS 1987/88/90 AND 99.
CLUB:          ATLETICO ROSARIO CENTRAL.
DIVISION:       4TH.
PERIOD:           YEAR 1989.
CLUB:          HURACAN DE LAS VARILLAS.
DIVISION:       1ST.
PERIOD:           YEAR 1990.
CLUB:          DEPORTIVO LASALLANO.
DIVISION:       1ST.
PERIOD:           YEAR 1992.
CLUB:          CLUB BANCO DE CORDOBA.
DIVISION:       1ST.
PERIOD:           YEARS 1991 AND 1997.
CLUB:          CLUB ATLETICO RIVER PLATE.
DIVISION:       3RD AND 1ST.
PERIOD:            YEARS 1993 / 94 / 95.
CLUB:          CLUB ATLETICO BELGRANO DE CORDOBA.
DIVISION:       1ST
PERIOD:           YEAR 1997
CLUB:          ATLETICO COLO COLO DE CHILE.
DIVISION:       1ST.
PERIOD:           YEAR 1998.
CLUB:          ATLETICO CALCHIN.
DIVISION:       1ST.
PERIOD:          YEAR 2000.
PROFESSIONAL WORK EXPERIENCE IN CLUBS.
CLUB:              BANCO DE CORDOBA.
POSITION:        SOCCER COACH OF 4TH, 5TH AND 6TH DIVISION. 
                                       ASSISTANT COACH OF 1ST DIVISION. 
                                       GOALKEEPERS COACH.
PERIOD:                YEAR 2006.
CLUB:                BANCO DE CORDOBA.
POSITION:          SPORTS COORDINATOR, 
                                         SOCCER COACH OF 1ST DIVISION. 
                                        GOALKEEPERS COACH.
PERIOD:                YEAR 2007.
CLUB:                 CLUB ATLETICO ARGENTINO PEÑAROL.
POSITION:          SPORTS COORDINATOR, 
                                         PHYSICAL TRAINING COORDINATOR, 
                                         PHYSICAL TRAINING OF 1ST DIVISION, 
                                        ASSISTANT COACH OF 1ST DIVISION. 
                                        GOALKEEPERS COACH.
PERIOD:               YEAR 2008 AND 2009.
CLUB:             CLUB ATLETICO ARGENTINO PEÑAROL. 
POSITION:         PHYSICAL TRAINING OF 1ST DIVISION. 
                                        ASSISTANT COACH OF 1ST DIVISION. ( OF COACH JOSE MARIA SUAREZ : EX SOCCER PLAYER OF CLUB ATLETICO BOCA JUNIORS, BELGRANO, SELECCIÓN ARGENTINA) . 
(SPORTING ACHIEVEMENTS : CHAMPION WITH BOCA JUNIORS OF THE LOCAL TOURNAMENT , COPA LIBERTADORES TWICE, AND COPA INTERCONTINENTAL),  
                                        GOALKEEPERS COACH.. 
PERIOD:                YEAR 2009 AND 2010.
SPORTING ACHIEVEMENTS.
TORNEO PROVINCIAL DE FUTBOL 2009 (WITH ARGENTINO PEÑAROL):
   3RD POSITION.
 SPECIAL MENTION OF THE FEDERACION CORDOBESA DE FÙTBOL AS BEST PHYSICAL TRAINING OF CÒRDOBA.
TORNEO PROVINCIAL DE FUTBOL 2010 (CON ARGENTINO PEÑAROL):
      3RD POSITION.
  - SPECIAL MENTION OF THE FEDERACION CORDOBESA DE FÙTBOL AS BEST PHYSICAL TRAINING OF CÒRDOBA.
SPECIAL CONSIDERATIONS.
SPECIAL NOTE: My technical team is currently composed of  JoSÈ Marìa Suarez, who Serves as my ASSISTANT COACH now