![]() |
| Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisalimia na wazee baada ya kuwasili Kata ya Tanga, wilayani Songea, ambako yalifanywa mapokezi yake. |
![]() |
| Nape akizindua mradi wa mabanda 119 ya biashara eneo la Mshengano,Songea. Vibanda hivyo vya biashara vimejengwa na CCM kwa sh. milioni 206 |
![]() |
| Nape akimtuza kijana wa Madrasaatul Nabai ya Masigira, baada ya kijana huyo kuomba dua alipowasili mjini Songea |
![]() |
| Msafara wa pikipiki ukiongoza msafara wa Nape kwenda Uwanja wa Maji Maji. |
![]() |
| Nape akishiriki kucheza ngoma baada ya kuwasili Uwanja wa MajiMaji. |
![]() |
| Nape akisalimiana na wakazi wa mji wa songea waliojitokeza katika viwanja vya majimaji kuja kumsikiliza pindi alipokuwa akiiingia kiwanjani. |
![]() |
| Nape akipita kwenye kanga zilizotandikwa na kina mama waliovutiwa na hotuba yake |
![]() |
| Nape akiagana na wananchi wa Songea waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa majimaji kuja kumsikiliza. |
![]() |
| Nape akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia mamia ya wakazi wa songea walipojitokeza kuja kumsikiliza katika uwanja wa majimaji. |








