| Baadhi ya maofisa wa UDSM kutoka kushoto ni Ms Agatha, Ms Noela na Ndugu Kitwana Ramadhani |
| Dr Omary K. Mbura wa pili kutoka kulia akiwa na baadhi ya maofisa wa UDSM mbele ya banda lao. |
| UCC nao hawako nyuma kutoka kushoto anayerekebisha tai ni Nongwa aka balozi wa amani , Mayala Mwendesha , Mwamsamali na Seleman Kitwana. |
| Maofisa toka UCC wakisubiri kutoa huduma kwa wateja wanotembelea banda la UDSM. |