Pages

Monday, July 2, 2012

Banda la Rural Energy Agency katika maonesho ya Sabasaba mwaka 2012

Miongoni mwa vivutio vikubwa katika maonesho ya mwaka huu ni kuwepo kwa makampuni yenye kutengeneza vifaa vitumiavyo tekenolojia rafiki kwa mazingira moja ya kampuni hizo ni BEDOKO LTD inayoshughulika na utengenezaji wa vifaa kwa ajili ya nishati mbadala.
Katika maonesho haya wako katika banda la REA wakitazamana na baa ya Longai ,sambamba na banda la TANESCO katika viwanja vya sabasaba na kiwanda chao kiko eneo la Mtoni Mtongani hapa Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi waweza wasiliana nao:
P. O . Box 21117
+255719372711 / +255767577951
beduko2012@gmail.com


Hawa ni baadhi ya maofisa katika banda la REA Kutoka kushoto Ndugu Suleiman Mbwambo , Ms Asha Mtola , na CEO wa BEDOKO Ltd Mr Berny Komba .

Mdau unaona kuni maalumu kwa nishati mbadala , REA wana kauli isemayo " A tree saved is better than a tree planted"


Mitambo ya nishati mbadala katika picha .

Huyu ni Ofisa katika Banda hilo Ndugu Francis Julius Rwebogora aka CHICHI akiwa katika pozi la kibishara

Bidhaa mbalimbali katika banda hilo.

Popular Posts