Pages

Thursday, November 8, 2012

Dk Mwinyi atembelea Vituo vya uchunguzi na matibabu vinavyojengwa mkoani Dodoma na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya


 Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi akionyeshwa jengo la Kituo cha mfano cha uchunguzi na mMatibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma. Kituo hicho kinajengwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Dk Emmanuel Humba baada ya kukagua ujenzi wa Kituo cha Mfano cha Uchunguzi na Matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kinachojengwa na Mfuko huo
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein Mwinyi akizungumza kabla ya kukagua ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha uchunguzi na Matibabu katika  Chuo Kikuu cha Dodoma kinachonjengwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya

Popular Posts