Pages

Thursday, November 8, 2012

Kilele Siku Ya Mlipa Kodi


  Kaimu Meneja wa mamlaka ya mapato tanzania TRA mkoa wa Dodoma akionyesha mojawapo ya vyeti ambavyo vimetolewa kwa makampuni, na wafanyabiashara ambao wamekuwa ni mfano wa kuigwa katika ulipaji wa kodi 

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma akipokea cheti kutoka kwa kaimu meneja wa Mamlaka ya mapato TRA mkoa wa Dodoma Bwana Ramadhan Muya.

                                                  Picha na Rodrick Ray

Popular Posts