Pages

Sunday, November 11, 2012

Mama Salma Kikwete,Bernard Membe na Ridhwani Kikwete Wakijadili Jambo


Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete(wa kwanzakulia)Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe(wa pili kushoto) na Ridhwani Kikwete(katikati) wakijadiliana jambo muda mfupi kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa Halmashuari kuu ya CCM taifa katika jengo la White House, mjini Dodoma Jana,

Popular Posts