Pages

Sunday, November 11, 2012

WALTER CHILAMBO NDIYE MSHINDI WA EBSS 2012


 Mshindi wa Shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS), Walter Chilambo akikabidhiwa sanduku lenye kitita cha shilingi milioni 50 baada ya kuibuka mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Picha na Habari Mseto 

Popular Posts