Pages

Sunday, November 11, 2012

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI WA MAKAO MAKUU MAPYA YA CCM DODOMA


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Chama,Ukumbi wa Mikutano na Hotel za Hadhi ya Nyota Tano katika eneo la Makulu Dodoma muda mfupi uliopita
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein akiwasili eneo la Makulu kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za makao makuu, Ukumbi wa Mikutano na Hotel ya Hadhi ya nyota tano muda mfupi ulipita.

Popular Posts