Pages

Sunday, November 11, 2012

Tanzania Distilleries Ltd Wakabidhi vifaa vipya vya Muziki kwa Bendi ya Muziki wa Dansi nchini ya Msondo Ngoma (Baba ya Muziki)


 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd ambao ni watengenezaji wa kinyaji cha Konyagi, David Mgwasa (wa tatu kulia) akikabidhi sehemu ya vifaa vya Muziki kwa viongozi wa Bendi ya Muziki wa Dansi nchini ya Msondo Ngoma (Baba ya Muziki) vilivyotolewa na Kampuni yake kwa ajili ya kuuendeleza muziki wa Dansi hapa nchini.Makabidhiano haya yamefanyika jioni ya leo katika Viwanja vya Leaders,Kinondoni jijini Dar es salaam.Wengine Pichani toka kulia ni Meneja Mauzo TDL,Joseph Chibehe,Meneja wa Konyagi, Martha Bangu,Maalim Muhidin Gurumo,Said Mabela a.k.a Daktari,Roman Mng'ande na Shaaban Dede ambao ni wanamuziki wa Msondo Ngoma Band.

Popular Posts