Pages

Monday, November 19, 2012

BWANA JACOB FRANCIS LUKWARO NA BI. MEMA MARGARETH BEREGE WAFUNGA NDOA


 Reception ilifanyika Officers Mess - Dar es salaam
  Bwana na Bi. Jacob Francis Lukwaro wakiwa na wapambe wao.
  Wazazi wa Bwana Harusi Jacob Francis Lukwaro, Bwana na Bi. Francis Lukwaro wakifuatilia kwa makini.
Shampeniiii...
Pongezi...
Wazazi wazaa chema, mama na baba wa Mema Margareth Berege.
Show love kwa marafiki.
Wazazi wa Bwana Harusi Jacob Francis Lukwaro, Bwana na Bi. Francis Lukwaro wakitoa nasaha zao.
Bibi Harusi Mema Margareth Berege akifurahi pamoja na wageni waalikwa waliofika katika sherehe yao ya kuwapongeza mara baada ya kufunga pingu za maisha na Bwana Jacob Francis Lukwaro. Sherehe ya kuwapongeza ilifanyika katika ukumbi wa Polisi Mess Jijini Dar.
Mama yake mzazi Mema Margareth Berege akifurahia.
Cherees!!!
Wageni waalikwa wakijiachia na ngoma ya kisambaa.

Ngoma ikipamba moto.
 Ngoma ya Kipogoro ikitoa burudani.

Bwana Harusi Jacob Lukwaro akimtambulisha rafiki yake ambaye wamezaliwa siku moja mbele ya wageni waalikwa mara baada ya kufanyiwa sherehe ya kushtukizwa (Suprise Birthday). Pembeni ni mkewe Mema Margareth Berege.
 Bwana Harusi Jacob Francis Lukwaro akimlisha keki rafiki yake.
 Bibi Harusi Mema Margareth Berege akikata keki.
 Marafiki waliozaliwa siku moja wakikata keki.
 Bwana na Bibi Jacob Francis Lukwaro.
 Bwana Ally Jamal akiwa na mkewe Rehema Bavuma (kushoto) pamoja na shemeji yake Ester Ulaya.
 Bwana  Cathbert Angelo akiwa na mkewe Ester Ulaya (kulia) pamoja na shemeji yake Bi. Rehema Bavuma.
Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja.

Popular Posts