Pages

Friday, November 23, 2012

Jakaya Kikwete Akutana na Rais Mstaafu wa Afrika kusini Mhe Thabo Mbeki Ikulu Jijini Dar es Salaam


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais Mstaafu wa Afrika kusini Mhe Thabo Mbeki baada ya mazungumzo yao  Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 22, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Afrika kusini Mhe Thabo Mbeki Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 22, 2012.Picha na IKULU

Popular Posts