Pages

Monday, November 19, 2012

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR AANZA KAZI


 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na  Katibu Mkuu wa Chama hicho Mzee Abrahmani Kinana.alipowasili katika Uwanja wa Demokrasian Kibandamaiti, katika Mkutano wa hadhara kwa wananchi wa Mikoa  ya Unguja  uliofanyika leo.
 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wananchi na wanachama wa CCM,alipowasili katika Uwanja wa Demokrasia Mjini Unguja, katika mkutano wa hadhara wa Mikoa ya Unguja.(kulia) Katibu Mkuu wa Chama CCM Taifa  Mzee Abrahmani Kinana,na Kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mzee Abrahmani  Kinana,(kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi,(kushoto) na Mwenyekiti wa Mkoa wa Mjini Borafya Silima,wakishangilia wimbo wa Chama wakati wa Mkutano wa hadhara kwa wananchi wa Mikoa  ya Unguja  uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Mjini Zanzibar leo.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Mzee Abrahmani  Kinana.wakati wa Mkutano wa hadhara kwa wananchi wa Mikoa  ya Unguja  uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Popular Posts