Pages

Monday, November 19, 2012

MWANDISHI MKONGWE AIDAN LIBENANGA AFARIKI DUNIA


  Hayati Aidan Libenanga
 Mtoto wa kwanza wa kiume wa Hassan Libenanga ( kulia) akifarijiwa na kijana mkazi wa Sabasaba
 Ramadhan Libenanga (kushoto) mtoto wa marehemu akizungumza na Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mstahiki Amiri Nondo, nyumbani kwa marehemu
 Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa nyumbani kwa marehemu Aidan Libenanga , eneo la Sabasaba, Mjini Morogoro, akiwasiliana na jamaa zao na kumsikiliza mwanae Rama.
Akina mama wakimfariji mtoto wakike wa Marehemu Aidan Libenanga
---
WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MOROGORO NA TASNIA NZIMA YA HABARI NCHINI WAMEPATWA NA MSIBA MKUBWA KUFUATIA KIFO CHA GWIJI WA HABARI NCHINI, MPIGANAJI AIDAN LIBENANGA, ALIYEFARIKI GHAFLA SAA 12 : 15 ASUBUHI YA NOVEMBA 18, MWAKA HUU. 

KWA MUJIBU WA NDUGU NA WATOTO WA MAREHEMU, MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA NOVEMBA 20, MWAKA HUU( JUMANNE ) MJINI MOROGORO. MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MTAA WA SABASABA, MJINI MOROGORO. 

MAREHEMU ALIKUWA MMOJA WA WAANDISHI WA HABARI WAKONGWE ALIYEWAHI KULITUMIKIA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA ( SHIHATA) ENZI HIZO  

Popular Posts