Pages

Monday, November 19, 2012

MABINGWA WA BALIMI BOAT RACE MUSOMA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO


 Baadhi ya washiriki wakianza kutimua vumbi...
 Burudani inaendela jukwaani...
 Wasanii wakitoa burudani jukwaani wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi zawadi.
 Mmoja kati ya washiriki akifurahia kitita, baada ya kukabidhiwa.
Kaimu Katibu Tawala wa Manispaa ya Musoma Rephael Joseph Nyanda, akimkabidhi kitita cha Tsh.700,000 Nahodha wa timu ya Makasia ya Wanawake ya Kisorya kutoka eneo hilo la Kisorya Nyamisi Deo, baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano ya Mitumbwi  (Balimi Boat Race) ngazi ya Mkoa Wilayani Musoma Mkoani Mara jana.

Popular Posts