Pages

Thursday, June 14, 2012

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye Aanza Rasmi Ziara Mkoani iringa

Nape akivishwa skafu na Green Guard wa CCM, baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi iliyopo mjini Mafinga
Vijana wa CCM wakiimba wimbo wakati wa mapokezi ya Nape (kushoto) ofisi ya CCm wilaya ya Mafinga, wilaya ya Mufindi.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye ameanza ziara ya kikaz i ya siku nne mkoani Iringa, ambapo atakagua uhai wa Chama na kukiimarisha katika wilaya mbali mbali mkoani humo. Kufuatia ziara hiyo Nape leo amewasili mjini Mafinga katika wilaya ya Mufindi kuanza ziara hiyo, Katika picha juu .Katibu Mwenezi wilaya ya Mafinga Daudi Yassin akimtambulisha Nape kwa wenyeji
Nape akisalimia wanafunzi wa Chuo cha Uhazli Njombe, baada ya kuwasili ofisi ya CCM wilaya Mafinga wilayani Mufindi.
Katibu Mwenezi Kata ya Halimba, Mafinga, Lupumko Mandele (koti la pink) akihamasisha kwa kucheza mbele ya Nape katika mkutano wa ndani mjini Mafinga.
Vijana Erick Anthony na Emmanuel James wakicharaza ngoma wakati Nape alipowasili, Ofisi ya CCM wilaya ya Mafinga iliyopo mjini Mufindi.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye ameanza ziara ya kikaz i ya siku nne mkoani Iringa, ambapo atakagua uhai wa Chama na kukiimarisha katika wilaya mbali mbali mkoani humo. Kufuatia ziara hiyo Nape leo amewasili mjini Mafinga katika wilaya ya Mufindi kuanza ziara hiyo.PICHANI: Ofisi ya CCM wilaya ya Njombe iliyopo mji i Mafinga.Picha zote na Bashir Nkoromo

Popular Posts