Pages

Monday, June 11, 2012

VIONGOZI WA SERIKALI WAAGA MWILI WA BOB MAKANI

Waombolezaji mabo wengi wao ni makada wa CHADEMA wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Bob Makani wakati mwili huo ulipofikishwa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kutolewa heshima za Mwisho.
Vioongozi wa juu wa Serikali akiwepo Rais Jakaya Kikwete (watatu kuli) Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilali(wapili kulia) Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (wa nne kulia) walihudhuria.

Popular Posts