

  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw Rene Meza akielezea jinsi  Vodacom ilivyochangia zaidi ya shilingi bilioni 700 katika malipo ya  kodi ya serikali alipokutana na  waandishi wa habari mjini Dodoma.
 
  Afisa Mkuu wa Mahusiano ya Jamii wa Vodacom, bi Mwamvita  Makamba akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kukutana  na kamati ya bunge ya miundo mbinu, sayansi na teknolojia mjini   Dodoma.
 
  Mhariri wa gazeti la The Guardian Bw. Florian Kaijage akiuliza  swali kuhusiana na Vodacom Tanzania kuchangia zaidi ya shilingi bilioni  700 katika kodi za serikali katika mkutano na Mkurugenzi Mtendaji wa  Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza(Hayupo Pichani), kushoto kwake ni mhariri  wa gazeti la Mwananchi Bw. Neville Meena.
 
  Mhariri wa gazeti la The Citizen Bw. Peter Nyanje akiuliza  swali kuhusiana na Vodacom Tanzania kuchangia zaidi ya shilingi bilioni  700 katika kodi za serikali katika mkutano na Mkurugenzi Mtendaji wa  Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza(Hayupo Pichani), kati kati ni mhariri  wa gazeti la Daily News Bw. John Kulekana na kushoto ni mhariri wa gazeti  la Habari Leo Bw. Mgaya Kingoba.
 
  Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji  wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza (hayupo pichani) wakati alipokuwa  akiwaelezea uchangiaji wa Vodacom wa zaidi ya Shilingi bilioni 700 katika  kodi za serikali alipokutana nao mjini Dodoma.
 
  WAPIGANAJI KAZINI: Wahariri mbali mbali wa vyombo vya habari  wakinukuu maelezo yaliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania  Bw. Rene Meza (hayupo pichani), akielezea jinsi Vodacom ilivyochangia  zaidi ya shilingi bilioni 700 katika malipo ya kodi ya serikali alipokutana  na  waandishi wa habari mjini Dodoma.
 
  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akishauriana  jambo na Afisa Mkuu wa Mahusiano Bi Mwamvita Makamba na Mkurugenzi wa  Fedha wa Vodacom Tanzania Bw. Tiaan Botha (kulia) baada ya mkutano na  waandishi wa habari kuzungumzia uchangiaji wa zaidi ya shilingi bilioni  700 katika kodi za serikali mjini Dodoma.
 
  Mkurugenzi wa Fedha wa Vodacom Tanzania Bw. Tiaan Botha akishauriana  jambo na Afisa Mkuu wa Sheria Bw. Walarick Nittu (wa pilli kulia), Afisa  Mkuu wa Mtandao  Bw. Alec Mulonga (kulia) na mkuu wa kitengo cha Uhandisi  wa Vodacom Tanzania Bw. George Magonyozi (kushoto) baada ya mkutano  na waandishi wa habari kuzungumzia uchangiaji wa zaidi ya shilingi bilioni  700 katika kodi za serikali mjini Dodoma.