Mshauri  Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher  John  Ozga (kushoto) akiwa katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni kilele cha  maadhimisho ya uchangiaji damu duniani. Aliyesimama ni Afisa kutoka  Mpango wa Taifa wa Damu Salama Bw. Deochris Kaimukilwa.
 
 
  Mshauri  Mkuu wa Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bw. Christopher  John  Ozga akifanyiwa vipimo na  Bw. Deochris Kaimukilwa baada ya kujitolea  damu.
 
  
  
  
 
  Mtangazaji  wa Radio France International (RFI Kiswahili) Emmanuel Makundi akifanya  mahojiano na  Bw. Hashim Mahige wakati wa zoezi kuchangia damu  lililofanyika katika Ofisi za shirika la Afya Duniani (WHO) jijini Dar  es Salaam ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya uchangiaji damu duniani. 
   Ramadhani Ndimba kutoka NASP .
  Charles Lutandula wa (WHO) katika zoezi la uchangiaji damu.
   Charles  Lutandula wa WHO akifanyiwa vipimo vya awali na Mtaalamu kutoka mpango  wa Taifa wa Damu Salama Bi. Edith Senga kabla ya kuchangia damu.