Pages

Wednesday, June 13, 2012

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa (kushoto) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Viti Maalum Rose Kamili Sukum kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma, Juni 12,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa (kushoto) , Mbunge wa Viti Maalum Leticia Nyerere (kuli) na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Felister Bura, kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Juni 12, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul na watoto wake Irene (kushoto) na Inocentia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Popular Posts