Pages

Thursday, June 14, 2012

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Anaeshughulikia Fedha na Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzibar,Omar Yussuf Mzee Awasilisha Bajeti Ya SMZ

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais anaeshughulikia Fedha na Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzibar,Omar Yussuf Mzee akionesha mkoba wenye nyaraka za Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2012/2013 jana Nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilish
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais anaeshughulikia Fedha na Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzibar,Omar Yussuf Mzee akisoma bajeti ya SMZ jana katika Baraza la Wawakilishi.
Baadhi ya wasikilizaji waliofika kusikiliza bajeti ya SMZ ya mwaka 2012/2013 jana.Picha na Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar

Popular Posts