Pages

Tuesday, June 12, 2012

NAPE NNAUYE AMTEMBELEA JOSEPH SELASINI MUHIMBILI

Selasini na Nape wakifurahia jambo baada ya kutaniana katika masuala ya siasa.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akimjulia hali, Mbunge wa Rombo kwa tiketi ya Chadema, Joseph Selasini, alipomtembelea wodini, katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Selasini anapatiwa matibabu katika hospitali hiyo baada ya kuhamishwa kutoka hospitali ya KCMC ambako alikuwa akitibiwa baada ya kupata ajali ya gazri hivi karibu kushoto kwake ni Mwenyekiti wa chama cha Mapindizi Mkoa wa Dar es Salaam John Guninita,

Popular Posts