
Kichanga kikiwa kimetupwa katika Dampo la Takataka Soweto Mbeya
 Baadhi  ya akina Mama na watu wengine waliofika eneo hilo kutazama  kichanga  hicho ambapo Mama  Mzazi hajafahamika. Hata hivyo Jeshi la  Polisi  linaendelea na uchunguzi. Picha na Allt Kingo