Pages

Wednesday, June 13, 2012

TASWIRA MBALIMBALI ZA WABUNGE WAKIWA VIWANJA VYA BUNGE

Mwanasheria mkuu wa Serikali(AG) Jaji Frederick Mwita Werema(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila(kushoto) wakibadilishana mawazo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.
Naibu Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai(kushoto) akiwa na Mbunge wa Iramba mashariki Mwigulu Nchemba(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(TAMISEMI) Hawa Ghasia (kushoto) wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt. Milton Makongoro Mahanga(kulia) mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali na pia Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo(kulia) ,Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba(katikati) na Andrew Chenge(kushoto) wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Mwenyekiti wa Simba Sport Club ambaye pia ni Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage(kushoto) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Maji Dkt Binilith Satano Mahenge (kulia) leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.
Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Emmanuel Nchimbi(kushoto) , Naibu Waziri wa Habari, vijana ,Utamaduni na Michezo Amos Makalla(katikati) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Anna Abdallah wakibadishana mawazo (leo) mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Waziri wa Nchi ofis ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika(kulia) akijadiliana jambo mjini Dodoma na Mbunge wa Jimbo la Tanga mh. Omar Nundu (kushoto) mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma

Popular Posts