Pages

Thursday, June 14, 2012

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE JUNI 14 2012

Waziri Mkuu, MizengoPinda akizungumza na Mbunge wa Sengerema., William Ngeleja kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu , Tawala za mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI) Aggrey Mwanri akijibu maswali mbalimbali yaliulizwa na Wabunge katika kipindi cha maswali na majibu jana (leo) mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa kiongozi wa Upinzani Bungeni, na Mbunge wa Hai-(CHADEMA)Freeman Mbowe, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akisikiliza kwa makini taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2011 na mwelekeo wa mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2012/13 iliwasilishwa leo Bungeni mjini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wasira.
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Vinjo, Augustino Mrema na katikati ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher Olonyokie Ole Sendeka nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Emmanuel Nchimbi (katikati) , Mbunge wa Afrika Mashariki Shyrose Bhanji (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Esther Bulaya(kushoto) wakibadishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo cha Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Juni 14, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Popular Posts