Pages

Thursday, October 18, 2012

CCM ZANZIBAR YALAANI VURUGU

Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan CCM akifafanua jambo katika Kikao kilichofanywa na Wawakilishi wa CCM kutoa kauli ya Kulaani machafuko yanayoendelea ambayo yamesababisha kuchomwa Moto Maskani ya CCM ya Kisonge Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Channel Ten Muniri Zakaria akiuluza maswali katika Kikao kilichofanywa na Wawakilishi wa CCM kutoa kauli ya Kulaani machafuko yanayoendelea ambayo yamesababisha kuchomwa Moto Maskani ya CCM ya Kisonge Mjini Zanzibar.PICHA NA-MAKAME MSHENGA -MAELEZO ZANZIBAR.

Popular Posts