Pages

Wednesday, October 17, 2012

NAIBU SPIKA JOB NDUGAI AWASILI LILONGWE MALAWI KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC PF


Mhe.Naibu Spika Job Ndugai akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Malawi,Patrick Tsere (kushoto) mara baada ya kuwasili jijini Lilongwe.Naibu Spika Ndugai amewasili nchini Malawi kuhudhuria mkutano wa 32 wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa SADC PF.Mkutano huo unatarajiwa kuandaa msingi wa uanzishwaji wa Bunge la SADC.Zaidi ya Wabunge 100 toka nchi 13 za SADC wanahudhuria.

Popular Posts